Kifungu cha 4, Makara ya 1V-Ombi

Mwanzo 1:27- Mungu akawaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanammena mwanamuke aliwaumba.

1. Kifungu cha 4 kinaambatana na makara ya 16.1- Kufanua na kurekebisha masharti, fursa na jukumu ya kuwa mshirika wa Kanisa, ambayo kwa kila kisa itakuwa bila kumbukumbu ya rangi, jinsia, au hadhi
2. Kifungu cha 4 pia kinapatana na makara 16.1—Mukutano Mkuu (General Conference) utakua na mamlaka kamilifu ya kisheria juu ya mambo ya kipekee ya muungano, na katika utumiaji was uwezo huu watakuwa na mamlaka kama ifuatavyo……. Kuona kuna haki na marupurupu kwa kila mshirika katika mashirika, programu, na taasisi zote katika kanisa la Kimethodist bila kujali kabila, jinsia, au hadhi.
3. Atakama mwanzo wa sentensi ni “kila mtu,” tunajua yakwamba sio “kila Mtu” aliye stahili ushirika. Tunajua kwasababu tumeambigwa ninani hastahili: Wanawake ambao sio wake wakwaza katika utamaduni wa mitala, Wanawake ambao wametengwa na waume woa, nk.
4. Hakuna kikomo baada ya watu wote kwa hivyo maneno yanayofuata yanaelezea ni nani “Kila”.
5. Orodha hiyo inatusaidia kukubuka Historia ya nani hakujumuishwa na ninani aliyebaguliwa. Hii inatafuta kusahihisha usawa wa kihistoria.
6. Katika kitabu cha Nidhamu Cha mwaka wa 2016, Neno Jinsia limetumika mara 64. Lime tumika kusumgumsia Usawa katika Kabila, Jinsia, Umri, hali ya uchumi, nk.
7. Katika makara ya 161.F, “ Jamii inayotunza. Wanawake na waume” (The Nurturing Community. Women and Men) Kinasema, “ tunathibitisha na maandiko matakatifu kwanmba ubinadamu wa kiume na wa kike, wote ni sawa machoni pa mungu. Tunakataa wazo topofu kwamba jinsia moja ni bora kuliko nyingine.

Download Kifungu cha, Makara ya 1V-Ombi PDF

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved