Timu inayo shugulikia tabia mbaya za ngono- Ombi

2 Wakorintho 13:11----“Hatimaye, ndugu, kwaherini; mtimilike,mfajike, nieni moja, mkae katika amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanji”.

1. Azimio #2043 inalejeshwa kwa sababu tugali tunaitaji Timu ya kuangaria tabia mbaya za ngono (Response Team Ministry) katika dhehebu la Kimethodist.(“United Methodist Church”)
2. Kuna utalatibu wa kulisaidia Kanisa la mtaa kupata uponyanji kulingana na usimamizi na mchakato wa mahakama. (363.1f, The Book of Discipline 2016).
3. Timu hii itateuliwa na askofu na ni sehemu ya usaidizi unaotolewa na Mkutano was kila Mwaka (annual conference). Tabia yoyote mbaya inaweza kuwa na mathara ya kudumu kihemko na ya kiroho: Kwa hivyo, Timu ya watu walio tayaliswa kimasomo wafanye kazi ili kuleta uponyaji kwa kanisa lamtaa unao itaji muda.
4. Utaratibu wa kimethodist pia umruhusu askofu kuchagua “watu wenye sifa na uzoefu katika ukadiriaji, uingilaji, au uponyaji”kusaidia wakati wana itajika. (363.1b, The book of Discipline 2016).

Download Timu inayo shugulikia tabia mbaya za ngono- Ombi PDF

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved